Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Degree za darasani au?
Watu saivi tunaishi na degree za aina mbili ya darasani na mtaani sasa kutokana na huu Uzi naouona hii itakua ni degree ya darasani kashindwa kuitumia ndio maana nikaandika vile ukashindwa kuelewa😆
 
Dear nimewaza kumuambia ukweli but wasiwasi wangu Ni kwamba atanikimbia na I am not ready kabisa dear.i wish like I can read his mind vile atalipokea kabla ya kumwambia. Maana I fear loosing him dear
Acha tamaa,heshimu ndoa yako,life is too short,relax and decide, imagine,kwanza huyo mmeo hajakuja kukutembelea kwa nini?
 
Gharama ya kumpoteza husband angalau kidogo Ila gharama ya kumpoteza Kijana nawaza nitakuwa chizi Mimi I just can't imagine
Akili yako umeshindwa kuidhibiti,kila kitu kinaanzia kichwani, control your emotion,and move on
 
Una hamu ya kufa right
 
Na hilo shimo watoto wanne na huyo jamaa anaona poa tuu,kweli dunia iko 5G
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi vi english vyako havitakusaidia siku ukiachika kotekote! Sijui ata upoje....unatuaibisha tu wanawake wasomi tuonekane wooote mazwazwa....Mungu akupe hekima na kujutia maneno na matendo yako
 
alikua anaogelea tu, maana kwa watoto 4 , huko chini si bahari kabisa ?

labda iwe chai hii
Huenda ni fix,sababu huyu mtoa mada anatudanganya wewe pima majibu yake,ameamua kupima watu akili.
Hii ni vibe ya weekend.
 
Asubuhi mlisema wanaume tunawaza wake zetu kuibiwa ofisini na kwamba mawazo yetu ni finyu.

Jioni mnaomba ushauri mmesha cheat hadi mnataka kuolewa mara ya tatu.

Ninarudia tena, wanawake mmeshindikana. Hata shetani anawashangaa.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…