Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Mimi Ni mwanamke
Nina miaka 32
Nimeolewa ndoa ya kanisani
na
* tumebahatika kupata watoto wanne* kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu,
he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Si umesema we ni mwanamke? Ni kweli. Haujadanganya.

Copy mtu furani anaejifanya ana akili huku kila linalosemwa ni tabia zake haswaaa. Njoo uone upupu mwingine mwanzo-mwisho hapa.

Japo inaonekana story ya kutunga,ila ndo walivyo.

Msanii Linex wa huko Kigoma, alisema Kweli ubukene ni ibanga, sikuamini utakuja kunimwaga Maisha yalikuwa mazuri, Covid19 ikaharibu mambo, leo hii mtoto unaemkubali ni mmoja. Hakika atakua si wake. Ikitokea hivi unachukuwa wako,wa kake wengine unamuachia.
Kijana ni handsome. Kila kukicha utawaona na wengine
 
Ntanchuti yakubhonye kunama
 
Huu sasa ndio ukweli wa mambo. **** njemba zinajua kusasambua mbususu sie wenye vibamia lazima mke akutose tuu. Furahia mgegedo bwana kama mume anazingua piga chini
 
Dada mimi nitakuwa tofauti kidogo sana na Wenzangu waliocomment humu kwanza mimi nikupongeze maan Ujio wa hii post yako katika maisha yangu nadhani sasa ndo itaimarisha zaidi msimamo wangu wa KATAA NDOA,

Yani kila nitakapokuwa napata ushawishi wowote wa Kuingia kwenye Ndoa nitakuwa Napitia hii Uzi ili ibomoe kabsa Mawazo haramu ya Kuingia kwenye Upuuzi wa Ndoa.

Hakika wanawake ni Makocha wa Shetani.
 
Hii ni Chai iliyopoa. Hakuna mwanamke anayependwa na mume wa ndoa halali mwenye watoto 4 ikafika sehemu aka date na mwanaume mwingine hadi asione thaman ya ndoa yake takatifu na aone ni sawa kupoteza ndoa yake ya awali sababu ya kijana wa leo leo.

Hii moja kwa moja ni chai ya saa 5 iliyopoa.
Na hata kama angekuwepo mwanamke aa dizain hiyo basi ndoa yake inashida kubwa hapati penz kamili, mume hampi thaman yeye na watoto hamjali hawajibik km mume otherwise ni uongo. Rabda mwanamke awe ni malaya n tabia yake kuliwa nje
 
 
Sure sure. Binafsi nachukia sana ndoa, sababu nina saikolojia ya maarifa ya mahusiano na ndoa kwa ujumla. Pia nashkuru kwa kupata ndoa tulivu kidogo. Mke wng hanaga mambo meng kdg katulia tunafurahia ndoa yetu huu n mwaka wa 5 sasa, na nina watoto 2....


Lakn kw vijana ambao hawana ndoa ushaur 1. Usikimbilie ndoa, 2. Ikibid kataa ndoa hazna ishu sn. 3. Ukiweza zalisha / zaa na mtu lakn usiish nae pika pakua kuwa kwny ndoa indirect
 
Hapo sawa km huridhishw unaweza liwa nje. Lakin sio ufke hatua yakuona mume wko hana thaman ndoa haina thaman n upuuz mkubwa sn
 
Sas mbona unasema ndoa yako takatfu unataman hta ivunjke uolewe na kijana. Mwanamke anaktu inaitwa Thamani. Mwanamke ana uthaman ndan yke .....miaka 32 watoto wa4 status ya ndoa n ishara thaman yko haipo tena kwa wanaume wengne bal ipo kwa mwanaume wko aliyekuoa


Huyo kijana huwez kumfcha una watoto 4 atajua ukwel na atakupga chin sbb uthaman flan haupo tena haijalsh ww n mzur kias gan una pesa kias gan hta zakumpa kijana utapata shda

Mwanaume w kwl n huyo mwamba hta km ana kibamia lakn kimekupa watoto 4

Kaliwe nje kirudishe ndan kaa kw kutulia


Afu wanaume wenzangu km kuna dawa zakuondoa kbamia saf sn tumien pia kufuga kitambi n ktu mbaya sn. Pia ukimla mkeo mle haswaa km unamla hawara aliyekula pesa yako. Timiza majukum yko. Epuka kelele zszo za lazma kw mkeo, penda watoto wko penda nakujal familia yko
 
Wewe hizo MSG 300 zote za huko Juu hujaona ushaurii unaokufaaa???? Tumekwambia waueee wanao na mumeo kwa kuwawekea sumu uenjoy na Huyo beib mpyaaaa...
Huu ndio ushaur mzur[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si umempenda kijana .... Ua huyo mfuga kitambi na watoto 3 abak 1 si umesema unamtoto 1.... Olewa na kijana
 
Eeeh makocha wa shetani tena😲😲😲 kumbe kuna watu mnawachukia wanawake with a passion
 
Wewe ni mjinga, no wonder mnachomwa na mkaa kama mishikaki
 
Tubu,mrudie Mungu.
Dhambi ya uzinzi inakua itakomaa na kuweka mizizi mlangoni pako.
Utakufa umesimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…