Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Ipo siku tu lazima mme wako atajua tu na hapo ndipo mwisho wa ndoa na mwisho wa huyo kijana utaishia kuwa single mama forever.
Wanawake Huwa hawaijui mitego ya shetani
 
Tupe mrejesho basi ili tuchague upande either wa kataa ndoa au kubali ndoa
 
Mkiambiwa muache pombe Kali mnatuona wajinga ona Sasa jitu zima linakojoa hadharani, in short wewe huna akili hafu una ka umalaya ndani yako
 
Ni miaka miwili sasa imepita. Je unaweza kutupatia mrejesho?
 
Nature ya kuchepuka huwa sio ya wanawake ona huyu kachokonolewa chini ila kachanganyikiwa juu(kichwani)
 
Sijawahi ona jimama pumbav like this. Yaani umezaa 4 kids na bado uko una act like 20 year girl.
 
Mkuu zingine ni za kweli.Mimi mtaa ninaoishi hapa At town,Kuna mwanamke ana mtoto wake wa kwanza Yuko UDOM ,lakini kamwacha mme wake na kwenda kuolewa na mtu mwingine.we achaaaa mkuu
Sasa kama kama jamaa anazingua mwanamke afanye nini? life is too short to live a miserable life, Kuna Maisha baada ya kuoa au kuolewa
 
tiGo unatoa?
 
Kikupacho utamu na uchungu kitakupa
 
Mrejesho
 
Duuh
 
Daaah nacheka kama mazuri 😅🤣
 
Unaijua tamthilia ya juakali?...kuna mhusika anaitwa Anna ana udhaifu wa kupenda penda ndo kama wewe sasa hata ukiolewa na huyo dogo utakutana na mwingine tu utapenda tena kwa sababu za kitoto kama hizo!...pole kwa wanao
 
Katila wanawake mazuzu nawe ni mmojawapo any way walisemaga majuto ni mjukuu endelea na mpango wako.Jitahidi kuka kutupatia mrejesho wa majuto hapa jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…