Penzi letu na mpenzi limevuja tena ndio bye bye limeishaa! Almost 4 years ila sio riziki isee!

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa!

Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi kumuona ila nashangaa hakuniambia alivyokutana nae!

Dah....!
 
Tena mwambienuuu alieninyimo mimi ndo kampa yeyeeeee eeeh- harmonize
Yao yao😁
 
penzi linavuja vipi kizembe?! mpigie simu chimba mkwara mwambie unamsaka ukipata ni ama zake ama zako... atato.mb@ moto ataungua mavuz!
 
Watu mnajiamini sana, unaishije bila bebi wa akiba jamani? 🀣🀣🀣🀣

Hapo ulikuwa umpigie bebi wa akiba ujipoozepo......maisha mafupi haya, hatuna muda wa kulia lia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…