Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

Penzi likiisha badilisheni kitanda mashuka ikiwezekana nenda HATA Nje ya nchi Katoe stress

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wassalahm allheikhum
Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA

Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana
Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki
Aka mzungu WA NNE
Usiforcee mapenzi utakufaa

Ikiwezekana badilisheni na mashuka YENU kabisa yawe mapyaa

Halitoshi mkiona mambo mengi sana wapendwa mmoja WENU aende HATA mkoan kutoa stress wenye uwezo NENDEN HATA Nje ya nchi

Mkihisi sasa mapenzi ya kweli yamewarudia njoon inbox ntawajuza cha kufanya

Bure kabisaa

Cc
Pdidyjr2025
 
Back
Top Bottom