Penzi lililodumu muda mchache zaidi

Penzi lililodumu muda mchache zaidi

MILL8

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,837
Reaction score
879
Habari zenu wana,

Siku kadhaa zimepita nilikua matembez maeneo ya bububu Zanzibar, nikakutana na binti mmoja nikaomba namba akanipa. Bas mida ya jioni nikamcheki akasema nimpigie baadae kwan bado anakaz, nikamuuliza sangap akasema usiku saa3 hivj nikasema pw.

Muda ukasonga hatimae ukafika nikanyanyua SMU na kupiga. Upande Wa pili akapokea, maongez yakaanza tukapiga stori weeee! Mara nikarusha ndoano ikatiki.

Tukaendelea na stori mbili tatu nikamwambia usiku umeenda sana nataka nilale tutaongea kesho, palepale akacharuka mara unataka kuongea na Malaya zako maneno kibao kaongea, mwisho akasema mi nawewe bas tuachane nikasema poa.

Mpaka sasa bado najiuliza hili penzi limevunja rekodi hata dakika10 halijamalza, harafu kuna wengine wanastaajabu mahusiano yao yanamalizika Kwa siku kadhaa, wiki, mwezi, mwaka na kwendelea wanatoa mapovu mi naona kama wamedumu sana.

Nawasilisha
 
🤣🤣 hilo halikuwa penzi ni bongo movie.

IMG-20211018-WA0046.jpg
 
Hilo sio penzi yalikuwa maongezi baada ya habari
 
Naona umezoea san kua dika HIV. Mpaka simu imeji-auto correct ulipotaka kuandika hivi.

Mungu kakuepushia zigo la kupata wadudu. Mshukuru kwa hilo.

Acha umalaya.
 
Naona umezoea san kua dika HIV. Mpaka simu imeji-auto correct ulipotaka kuandika hivi.

Mungu kakuepushia zigo la kupata wadudu. Mshukuru kwa hilo.

Acha umalaya.
Mkuu mm sio malaya
 
Back
Top Bottom