Penzi shatashata la Ruby na Mose Iyobo

Penzi shatashata la Ruby na Mose Iyobo

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Mwimbaji Staa kutokea Bongo Flevani, Ruby ameibua minong’ono mtandaoni baada ya kumpost aliekuwa mpenzi Aunty Ezekiel aitwaye Mose Iyobo na kuandikia maneno yanayoashiria kimahaba.

Ruby kupitia ukurasa wake wa Instagram alimpost Mose Iyobo na kuandika.. “Nakupenda sana sana na Unajua” kitu kilichoacha maswali yasiyo na majibu kwa mashabiki juu kinachoendelea baina ya wawili hao.

Ikumbukwe hapo awali Kusah alikuwa kwenye mahusiano na Ruby ila kwasasa yupo kwenye mahusiano na Mwigizaji Aunt Ezekiel na wawili hao wamafanikiwa kupata mtoto wa kiume.

Wakuu Hii Inaitwa Vice Versa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3]
 
Halafu eti liaunt ezekieli kama limekasirika[emoji13][emoji13][emoji13] ye alivyomchukulia mwenzie bwana aliona sawa
Amepata Kisugar Hatari, wale walkutana wakaanza Kufarijiana, Maana wote walitoswa na Wapenzi Wao [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwimbaji Staa kutokea Bongo Flevani, Ruby ameibua minong’ono mtandaoni baada ya kumpost aliekuwa mpenzi Aunty Ezekiel aitwaye Mose Iyobo na kuandikia maneno yanayoashiria kimahaba.

Wakuu Hii Inaitwa Vice Versa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3]
Kiki ya nyimbo itakuwa.
 
Hata sio revenge tamu, iyobo hana maajabu yupo kama mwanamke tu..... Ruby hamna kitu hapo
 
Back
Top Bottom