Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Amepata Kisugar Hatari, wale walkutana wakaanza Kufarijiana, Maana wote walitoswa na Wapenzi Wao [emoji3][emoji3][emoji3]Halafu eti liaunt ezekieli kama limekasirika[emoji13][emoji13][emoji13] ye alivyomchukulia mwenzie bwana aliona sawa
Kiki ya nyimbo itakuwa.Mwimbaji Staa kutokea Bongo Flevani, Ruby ameibua minong’ono mtandaoni baada ya kumpost aliekuwa mpenzi Aunty Ezekiel aitwaye Mose Iyobo na kuandikia maneno yanayoashiria kimahaba.
Wakuu Hii Inaitwa Vice Versa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Una uhakika hii ndio changamoto inayokukabili kwa sasa.?
Huyu Jamaa Iyobo amekaa kike sana lakini.
Umeshindaje? 😂Una uhakika hii ndio changamoto inayokukabili kwa sasa.?
Yaani nikiwakuta wote wawili iyobo na ruby nawatongozaHuyu Jamaa Iyobo amekaa kike sana lakini.