Peo Guardiola avunjiwe mkataba akauguze majeraha ya talaka,ataipoteza Man City

Peo Guardiola avunjiwe mkataba akauguze majeraha ya talaka,ataipoteza Man City

Man city ipo kwenye kipindi ambacho inahitaji rejuvenation. Wachezaji walioipandisha tayari washastaafu mfano david silva, aguero, toure n.k waliopo umri umeenza kuwatupa mkono mfano de bryne, walker, gundogan.

Ambao wamesajiriwa hivi karibuni na wapo katika umri mzuri mfano doku, silvinho n.k inaonekana wameshindwa kuvaa viatu vya kizazi kilichopita.

Wakae chini waje na mkakati mzuri, man u ilianza hivi hivi. Advantage waliyonayo ni pep bado yupo tofauti na man u ambapo mzee fergason alikua anaondoka
 
Back
Top Bottom