UKWELIWANGU
Member
- Aug 11, 2011
- 82
- 5
Halafu husipopokea simu yao (mara moja katika 20 applications) wanasusa hawakupigii ng'oo....ovyooo kabisa radar recruitment agency.....mambo yako katika agency ya msomali pale kinondoni hugo house jamaa very professional...Radar ya 2005-2007 ndo ilikuwa bomba!
Halafu husipopokea simu yao (mara moja katika 20 applications) wanasusa hawakupigii ng'oo....ovyooo kabisa radar recruitment agency.....mambo yako katika agency ya msomali pale kinondoni hugo house jamaa very professional...Radar ya 2005-2007 ndo ilikuwa bomba!
Hawa Radar hawana maana kabisa, huwa wanauza kazi kwa ndugu na rafiki zao pale nyuma walipokuwepo wakina Miranda,Mya,Shuli kidogo ilikuwa ina enda proffessionally siku hizi ni wasanii na ujinga wao mmoja huwa wanawahi kudaka kazi kuliko other Recruitment companies. Kuna hoja ililetwa humu ndani kuhusu utitiri wa Recruitment companies. Nyingi zinakuwa ni vijiwe vya kutafuta pesa jaribuni hizi nimesikia hazina longolongo Mygoli,Prestige,HRM pale mikocheni warioba, Ipo nyingine pale Mikocheni kwa mwalimu kwenye ghorofa lenye Crdb atm.
Yaani people power cwaamini kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mimi!
Ni muda mrefu tangia hawa jamaa waanze kutanganza nafasi za ajira ufanye application online. but i wonder some times there is repetation on their advert they only changes the dates. pia hata ukifanya hizo applicatio online no any feedback i mean hamna mafanikiyo
kinachobaki ni ww kutuma emails kila kukicha. unapoteza pesa na muda internet bila mafanikiyo.
MNATUTESA NA KUTUNYANYASA KISA SHIDA ZETU.
WATANZANIA TUSIUMIZANE BALI TUSAIDIANE. USITUMIE SHIDA YA MWENZIO KUJINUFAISHA PIA USIMFANYE MWENZIO MJINGA KWA SHIDA ALIYOKUWA NAYO
mail hiyo hapo:recruitment@prospect-africa.comSasa akina kaka na akina dada ni vyema kama mtu anazijua recruitment company ambazo zina uhakika wa kumtafutia mtu kazi. naomba kwa manufaa ya wana JF wote aziweke hewani ili watu tuzijuwe mana watu wengi wanataabika kwa kukosa kazi na kuzing'ang'ania hizi recruitment tajwa hapo juu kwa kutozijuwa hizo nyingine.
PLZ naomba mudhioredheshe vizuri ili kila mtu asiyezijuwa azitambue na azifikie kwa ajili kukabidhi CV yake.
asanteni.
TUMECHOKA KUFANYWA WATUMWA WA KIFIKRA.
prospect africa,hii ndio yenye uakika,iko pale kinondoni HUGO house.yani yule jamaa anaitwa Aziz yuko smart sana.mimi nilipata kazi kupitia hii recruitment agent,kilahisi bila longolongo wala nn!pia wanatunza cv,ko jaribuni kutuma.jambo la msingi anakufanyia interview ukiweza link fasta. BIGUP AZIZ..........................BIGUP PROSPECT AFRICA MUNGU AWABARIKI