Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

Kasinja jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
1,034
Reaction score
1,812
Mtaishi maisha ya tabu sana Safari hii
Mliicheka Real Madrid ilipo kua inabadilisha makocha Kama bukta kisa uepo wa pep guadiola akiwa barca, sasa ni zamu yenu na cjui mtawaleta makocha gani WA kumtingisha pep guadiola pale epl, Safari hii mpende msipende lazma muite maji mmah! Huyu ndo kocha wa dunia habahatishi kila anachokifanya ameshakifanyia utafit! One love Manchester City chama langu kila la kheri katika safari ya ubingwa 2017-2018 !!!!

Asipo beba ubingwa najitoa jamiiforums.na.sitakanyaga tena hapa,
 

Attachments

  • FB_IMG_1508753277493.jpg
    19.1 KB · Views: 136
Tukutane mwezi wa 5 mwakani majibu yote yatakuwa wazi...

post saved!!
 

Duuh! Mkuu EPL si ya kutabiri mechi 19 kabla. Mod Two Active Invisible
 
Ukweli mtupu kaka watakaa namuona morinyo anatafuta chocho la kusepa
 
Kuna vitu vingine hutakiwi kuumiza kichwa kuwaza,

Leo bado oktoba,mechi played ziko Tisa unaanza kujiapiza kana kwamba timu zimekatwa miguu...relax uendelee kushangilia mpira lakini ukumbuke huwa kuna vipindi vingi vya kupitia epl,vizuri,vigumu na vibaya,bado mechi 29.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…