Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

Wolves EFL kawatoa jasho dakika 120 mpo hoi... kwanza mtu gani huyu anashangilia Man city? au zamani ulikuwa mshabiki wa Arsenal ?
 
Wolves EFL kawatoa jasho dakika 120 mpo hoi... kwanza mtu gani huyu anashangilia Man city? au zamani ulikuwa mshabiki wa Arsenal ?
Hao ni mashabiki wa mikopo wanaotoka timu kama man u,Chelsea, Liverpool baada ya upepo kuwakataa... Arsenal ina loyal fans wewe
 
Na hilo ndio litamfanya apigwe na arsenali, hakuna timu ya EPL inayocheza draft iliyowahi kumsumbua Arsenali, labda kama siku hiyo atacheza mpira wa kutafuta magoli tu vinginevyo sahau kuhusu ushindi.
unajipa moyo tu, arsenal ya sasa haina mpira wa kumpiga city, sawa wanacheza pasi ila haina wachezaji wengi wazuri
 
mwambie PEP hapo EPL kulimshangaza msimu wake wa kwanza alitoka kapa bila hata ya kombe kitu ambacho hakijawahi kumkuta katika maisha yake yote ya ukocha so atarajiwe kushangazwa tena
 
sidhan km una ushabiki na man city.... may b km umeanza fatilia Moira 2015.

maaana uko nyuma man city haikuwaga na mvuto had I weww uipende
 
Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums milele sio kamwe. we Kiswahili umejifunzia wapi?
 
mwambie PEP hapo EPL kulimshangaza msimu wake wa kwanza alitoka kapa bila hata ya kombe kitu ambacho hakijawahi kumkuta katika maisha yake yote ya ukocha so atarajiwe kushangazwa tena
ndoto zako zinakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…