Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

gp1rooney HUO NI MTIZAMO WAKO AMBAO HATA MIMI NAUITA UPUUZ. PEP NDYE KOCHA BORA KULIKO FERGIE.. KAMA UNATAKA BASI TUWAPME KATKA HEAD TO HEAD.. UNAONAJE?
Huwezi kuwalinganisha hao makocha kwa kuangalia head to head results, hicho si kipimo sahihi...
Hadi kufikia hivi sasa bado pep ana safari ndefu kulinganisha na Fergie ambaye keshastaafu!
Unakikumbuka kikosi cha man u kilichobeba ubingwa 2012/2013 chini ya fergie?
Ni kikosi hicho hicho ambacho kilimaliza nafasi ya 6 msimu uliofuata mara baada ya ferg kuondoka, je unadhani kama kile kikosi angepewa pep angechukua ubingwa?
Hadi hivi sasa bado fergie hajapata wa kumfananisha, pep anahitaji muda zaid epl ili aweze kumfikia ferg...yapo mengi sana yanayomhusu ferg kimafanikio, na jinsivalivyoitoa man utd mbali tofauti na huko alikopitia pep!
 
Sawa bhana Kama gurdiola akiweza kuchukua mfululizo Mara 3 zote nitamuona kweli mfalme sio hiyo mara moja ambayo hata conte ameweza beba
 
mourinho alichukukua ubingwa baada ya muda gani tangu aje EPL Mara ya kwanza?..konte ilimchukua muda gani?..Wenger?..Ferguson aliondoka kwa kuwa ushindani ulizidi?..had spurs na man city walitishia vigogo kwa sababu ya hela
Jamaa anacho mtukuza pep ni kitu cha kawaida sana sijui ni mahaba yamezidi
 
Freyzem HKO KIKOSI ALICHOKIACHA FERGIE ANGEMWACHIA PEP, ANGECHUKUA UBINGWA NA ISINGESHKA NAFAS YA 6, FERGIE MJANJA, ALIMRITHISHA MOYES WA EVERTON ILI PENGO LAKE LIONEKANE KUBWA, MATOKEO YAKE TEAM IKAVURUGKA, FERGIE ALIMRITHSHA KOCHA WA KIWANGO CHA CHN MAKUSUDI TU.. PEP ANGEACHIWA YEYE ANGEBEBA NDO NA ANGEMWONESHA FERGIE KUWA SI LOLOTE.

HALAFU KAMA MNACHUKUA IDADI YA MAKOMBE (H2H MMEKATAA), BASI TULINGANISHE KUANZIA PEP ALIPOANZA KUFUNDISHA TEAM KUBWA (BARCA) HAD MWAKA ALIOSTAAFU FERGUSON KWENYE ILE FINAL YA 2010 TUJUE NANI JEMBE...

HUYO FERGIE ALISTAAFU KWA AIBU YA KUFUNGWA FAINALI ZOTE MBILI NA PEP

Cole Williams
@g1rooney
 
Jamaa kaletwa pale kwa ajili ya UEFA ila mpaka sasa anaruka anaruka tu na aina ya mpira wake ule hawezi kuchukua UEFA hawaheshimu wapinzani.
 
Jamaa kaletwa pale kwa ajili ya UEFA ila mpaka sasa anaruka anaruka tu na aina ya mpira wake ule hawezi kuchukua UEFA hawaheshimu wapinzani.
una uwakika kijana na waarabu wanataka epl tu
 
Jamaa kaletwa pale kwa ajili ya UEFA ila mpaka sasa anaruka anaruka tu na aina ya mpira wake ule hawezi kuchukua UEFA hawaheshimu wapinzani.
Muulize furguson kakaa pale Manchester united miaka mingapi na kachukua uefa ngapi angalia huo muda wote harafu unataka pep afike anachukua epl + CL + fa + carabao kila msimj kirahisi ....man city ilikuwa vibaya mno kufika tu final moja ya CL mwaka Jana ni mafanikio makumbwa Sana haijalishi pesa kiasi gani inatumika ....
 
Sasa uekezaji wa kipindi hicho wa Ferguson na wa man city wa sasa ni tofauti ule uekezaji wa man city ni kwa ajili ya UEFA.
 
EPL Mancini alishachukua mda mrefu target ya man city na PSG' ni UEFA huko kwingine makombe wameyachoka.
Fuatilia wacha ubishi kulazimisha mambo waarabu wanatka epl tu basi ya uefa ni wewe
 
Fuatilia wacha ubishi kulazimisha mambo waarabu wanatka epl tu basi ya uefa ni wewe
Hii comment yako imenifanya niamini nabishana na mtu anayefuatilia basketball serious kabisa ndo umeandika huu utopolo.
 
Hii comment yako imenifanya niamini nabishana na mtu anayefuatilia basketball serious kabisa ndo umeandika huu utopolo.
Punguza ubishinmaana unachotaka hapa guardiola aonekane hamna kitu ila sio plan ya man city usiforce pambana na man utd yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…