Pep Guardiola apiga marufuku "Pizza" Man City

Gobo Waukweli

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
16
Reaction score
11
Kocha mpya wa Klabu ya Manchester city, Guardiola amepiga marufuku ulaji wa chakula kinachoitwa "Pizza" kwa wachezaji wote wa Klabu hiyo kwa chakula hicho kina madhara mengi kwa wanamichezo.

 
Hivi hawawezi kula Magimbi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…