Wachezaji wake ni wa kawaida sana ila wanaupiga sana...hivi special one ,Jurgen,Wenger na wengine wanazidiwa nini na huyu jamaa?
Hhmm.. Haya, nao ni mchango pia..Japo ni best coach, ila anamkubali sana Antonio Conte ( Chelsea )
Guardiola anamkubali Conte kwa jinsi alivyoziwezesha timu zake kufanya vizuri akizizungumzia Juventus, Timu ya Taifa ya Italy na Chelsea.
Guardiola alijiunga Manchester City akiwa ametokea kwenye timu alizoziwezesha kufanya vizuri " Barcelona na Bayern Munich", Msimu wake wa kwanza haukuwa mzuri sana maana alihitaji kuubadilisha mfumo wa mpira wa uingereza, na watu wengi walisema hataweza na ndio mwanzo wake kuwa mgumu, japo aliwekwa kwenye record ya kuwa kocha No 1.
Wa kawaida ki vipi???Wachezaji wake ni wa kawaida sana ila wanaupiga sana...hivi special one ,Jurgen,Wenger na wengine wanazidiwa nini na huyu jamaa?
Msimu wa kwanza Epl haukuwa poa kwa Pep jibu rahisi wale wachezaji aliowakuta pale hakuwasajili yeye....Japo ni best coach, ila anamkubali sana Antonio Conte ( Chelsea )
Guardiola anamkubali Conte kwa jinsi alivyoziwezesha timu zake kufanya vizuri akizizungumzia Juventus, Timu ya Taifa ya Italy na Chelsea.
Guardiola alijiunga Manchester City akiwa ametokea kwenye timu alizoziwezesha kufanya vizuri " Barcelona na Bayern Munich", Msimu wake wa kwanza haukuwa mzuri sana maana alihitaji kuubadilisha mfumo wa mpira wa uingereza, na watu wengi walisema hataweza na ndio mwanzo wake kuwa mgumu, japo aliwekwa kwenye record ya kuwa kocha No 1.
Kuna Siri nilimpatia. Siri ya mafanikio yoteWachezaji wake ni wa kawaida sana ila wanaupiga sana...hivi special one ,Jurgen,Wenger na wengine wanazidiwa nini na huyu jamaa?
Wachezaji wake ni wa kawaida sana ila wanaupiga sana...hivi special one ,Jurgen,Wenger na wengine wanazidiwa nini na huyu jamaa?
Kazi ndio msingi wa maendeleo. Nchi masikini haiwezi kuendelea kwa msingi wa fedha. Nchi masikini haiwezi kujitawala kama inategemea msaada kutoka nchi za nje- J. K. NyerereKuna Siri nilimpatia. Siri ya mafanikio yote
ni alliens?Wachezaji wake ni wa kawaida?