Je itakuwaje ikiwa pelegrn akachukua uefa na epl??
Never we canot received makapi forget about that dWhat if Pellegrini joins Man Unite after Van Gaal?
Pep sasa umaarufu wake utashuka so fast
EPL ni ngumu sana
vitimu vidogo tu vinakuumbua
Vinakamia tu lakini havina uwezo mzuri wa kucheza mpira
Pep hawezi kufanikiwa EPL angetuliza kipago kama mwenzake Lonely Mess...
Mkuu hiyo mimba yako bado hujazaa tu....Lowasa amesababisha Pellegrini afukuzwe
utaishia kutamani ila haitawezekana labda eplHawa City wamemkosea heshima sana Pellegrin. Imagine bila aibu wamekiri ati walianza mazungumzo na Pep tangu mwaka 2012. Japo siwapendi City, natamani sasa Pellegrin afanikiwe kuchukua EPL na Champions League ili Pep aje na challenges za kuachive hayo makitu.