PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Pep vs Mou!
Pep aliibukia Barcelona kwenye kikosi cha dhahabu. Alitwaa kila kitu. Mou alimfanyia mbwai uefa na kikosi chake hicho cha dhahabu. Kama haitoshi, Mou kamfuata Spain matokeo yake kamkimbiza mazima kwenye ligi.
Akaibukia Bayern Munchen. Uefa kanyanyasika sana na hii timu; hatimaye katimkia Man City ligi ya Uingereza jijini Manchester. Mou kamfuata tena kwenye hilo jiji; sasa ni Manchester City vs Manchester United zote za jijini Manchester. Sawa na ilivyokuwa Barca na Real Madrid japo jiji tofauti, ila uhasibu ule ule.
Pep hajawahi nishawishi kuwa ni kati ya makocha bora Duniani. Nilichokuwa nakiona ni bahati ya kuibukia timu zilizojijenga kisawasawa.
Sasa uwanja anao. Anapaswa kuijenga Man City naye Mou Man United. Tusahau kuhusu msimu uliopita Mou kupitia uropa akaingia uefa kibabe. Sahau kuhusu cup cha EFL moja ya cups kubwa Uingereza. Sahau pia kuhusu Ngao ya jamii. Sahau kuwa Pep hajabeba hata kikombe kimoja hata cha chai kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya ukocha. Enewei, Sasa tujikite msimu huu ulioanza.
Pep tafadhali. Prove me wrong!
Adios!