Wakuu nimebakiza masaa 71 kujikinga na huu ugonjwa ndomu imepasuka nimegundua baada ya gemu kuisha mwenye kufahamu zinapopatikana hizi dawa anielekeze tafadhali
Hivi pep ni nini?Wakuu nimebakiza masaa 71 kujikinga na huu ugonjwa ndomu imepasuka nimegundua baada ya gemu kuisha mwenye kufahamu zinapopatikana hizi dawa anielekeze tafadhali
N bure,,, ila kuzipata SasaHizo pep zinauzwa kiasi gani
Post-exposure prophylaxisHivi pep ni nini?
PEP are not for sale!Hizo pep zinauzwa kiasi gani
Hataelewa...mfafanulie zaidi mkuu.Post-exposure prophylaxis