PEP zinapatikana wapi Moro town?

Vibao vya jogoo hatupasuagi condom.
RIP
jamaa anaonekana alikua na ukame akasugua sana ha ha ha ha ha alafu ikipasukia mule ndani unaona utam unazidi so unaona kuchomoa udwanzi unaendelea
 
Ukienda hospital utapimwa kwanza ngoma, ili usije ukawamalizia dawa zao kumbe tayari zamaani!
 
Kila la kheri ila jiandae kupambana na maudhi ya pep hizo dawa nilizipigia salute!!!
 
Yes .nenda Morogor hospital.ila watakupima kwanza kujua kwamba bado hukuwa na maambuzi kabla ya kupata pancha.ukikutwa otherwise utaanzishiwa ARV
 
kuuliza sio ujinga km huji halafu hulizi ndio ujinga wa mwisho hiyi (pep) nikitu gani au inamaana gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…