Yombayomba JF-Expert Member Joined Aug 23, 2006 Posts 818 Reaction score 214 Jan 21, 2012 #1 Mashabiki wa Barca noma, ona wanavyomlinganisha Pepe katika picha hii? Attachments pepe.jpg 20.5 KB · Views: 49
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jan 21, 2012 #2 na lazma avunje goti la messi ndo roho yake itakuwa kwatu..
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,566 Reaction score 13,770 Jan 22, 2012 #3 kumpiga teke chura ni kumuongezea spidi,hao madrid ndio zao hizo,lakini wacha wapige viatu c tunapiga mabao nani mjanja?na ngoja hiyo j5,ndio wataipata kama cio 5!
kumpiga teke chura ni kumuongezea spidi,hao madrid ndio zao hizo,lakini wacha wapige viatu c tunapiga mabao nani mjanja?na ngoja hiyo j5,ndio wataipata kama cio 5!