Bunchari
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 558
- 661
Mwami Yesu asingizwe
Habari wakuu I hope mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki, naomba kupata ufafanuzi wa swali langu kama lilivyo hapo juu kwenye heading.
Nimeambatanisha na vifungu vifuatavyo:-
Matendo 16:16 “Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja aliyekuwa na pepo wa uaguzi akatukuta, aliyewapatia bwana zake faida nyingi kwa kuagua.
17 Akamfuata Paulo na sisi akipiga kelele, akisema, Watu hawa ni watumishi wa Mungu aliye juu, wenye kuwahubiria njia ya wokovu.
18 Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo akasikitika, akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile”.
Nawasilisha.