Pepo wachafu pale Simba na Yanga

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,091
Reaction score
3,695
Kuna roho chafu za mizimu zinatawala vilabu vya simba na Yanga. Ndio maana unaona vitabia vyao vinafanana. yani kila Mwaka vitabia vinahama hama. mara leo Bundi yupo Jangwani mara msimbazi.

wachungaji na wanamaombi simamieni hili.

Weledi na uhalisia uwazi na uwajibikaji hakuna na kama vipo ni kwa misimu tu.

haiwezekani exactly tabia ile ile walio ionesha yanga enzi za kina juma Balinya na Yikpe ndio tabia hizo hizo exactly znatokea Simba.

Hata mfumo wa Mabadiliko ni wa Kubumba tu.
huku yanga walituaminisha wanaingia mkataba na La liga santando. na sevilla sjui. huku simba tunaambiwa uwekezaji wa Bilion 20.

ilimradi mauzauza.
Halafu mashabiki nao kama manyumbu hatuhoji.

kazi uchawi uchawi tu.

Mi ndo mana nmeanza na kujihusisha na swala la Kubeti. ili angalau nirudishe Hela zangu.

lakini huku nako kwenye kubeti wapi.
ili mradi tuteseke

Hivi wanamaombi na Wachungaji wanafanya kazi gani nchi hiii. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ninaandika kwa Uchungu. [emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji1624][emoji373]
 
Simba na Yanga ni taasisi muhimu sana katika intelijensia
 
mkuu usiumizwe na tuvitu tudogo tudogo.Mambo ya Simba na Yanga yanahakisi namna mashabiki wa izo timu walivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…