Peps take away za Singida zina ujazo pungufu

Singida ni kituo cha lazima cha Mabasi Tanzania, yaan ukiwa unaenda mkoa wowote singida lazima upite, its a good thing ila bad news ni kwamba wajanja wanaojiita wafanyabiashara wamepageuza kama eneo la kuwatapeli Wasafiri. Tena wakishirikiana na Madereva wa Mabasi kwenye vituo vya kupata Chakula.
Huduma mbovu, soda mpaka maji ni feki na gharama zipo juu sana, watu wanalishwa kuku wabichi au vibudu. Nyama za punda etc yaan sijui tulirogwa na nani Watanzania
 
Unataka kuua brand za watu we mswahili mwenzangu
 
Singida ni kituo cha lazima cha Mabasi Tanzania, yaan ukiwa unaenda mkoa wowote singida lazima upite, its a good thing ila bad news ni kwamba wajanja wanaojiita wafanyabiashara wamepageuza kama eneo la kuwatapeli Wasafiri. Tena wakishirikiana na Madereva wa Mabasi kwenye vituo vya kupata Chakula.
Huduma mbovu, soda mpaka maji ni feki na gharama zipo juu sana, watu wanalishwa kuku wabichi au vibudu. Nyama za punda etc yaan sijui tulirogwa na nani Watanzania
Nyama ya punda mbona fresh tu ila ni kosa kuuza nyama ya punda kwa kuiita ngombe
 
Singida ni kituo cha lazima cha Mabasi Tanzania, yaan ukiwa unaenda mkoa wowote singida lazima upite, its a good thing ila bad news ni kwamba wajanja wanaojiita wafanyabiashara wamepageuza kama eneo la kuwatapeli Wasafiri. Tena wakishirikiana na Madereva wa Mabasi kwenye vituo vya kupata Chakula.
Huduma mbovu, soda mpaka maji ni feki na gharama zipo juu sana, watu wanalishwa kuku wabichi au vibudu. Nyama za punda etc yaan sijui tulirogwa na nani Watanzania
Nasikia zile sio kuku ila ni wale ndege John wanaoshinda kwenye majalala ndio tunauziwa
 
Jamaa wana uhuru sana maana wanajua utabeba unaenda nalo kwenye gari baada ya dakika nne gari linasepa, utajaza Mwenyewe huko mbele ya safari ule ama utupe

Kuna wale jamaa wanauza kuku pale especially zile za 6000 haswa kipindi cha desemba ama likizo wateja wa usiku.. zile kuku haziivi yaan wanachemsha fasta fasta kwenye maji then wanapitisha kwa juu juu kwenye mafuta then unauziwa, its awful japo atulazimishwi kununua ila kwa afya ya watu sio poa
 
Back
Top Bottom