BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Tesla Inc inaanza uzalishaji wa malori ya kibiashara yanayotumia umeme na tayari CEO Elon Musk amesema kampuni ya Pepsi itapokea magari hayo ya kwanza kuanzia Desemba 1.
Musk aliwahi kusema mwaka 2017 kuwa Semi Truck hizo zingeanza kuingia sokoni kuanzia mwaka 2019, alisema lori la Daraja la 8 litaanza uzalishaji ifikapo 2019 lakini ratiba hiyo ilisogezwa mbele mara kadhaa kwa sababu ya uhaba vifaa.
Katika tweet nyingine, Musk alisisitiza kwamba gari hilo linaweza kusafiri maili 500 (km 805). Haikuweza kufahamika mara moja ni lori ngapi za Semi ambazo kampuni ya kutengeneza magari ya umeme inapanga kuzalisha.
Lori hilo linatarajiwa kugharimu Tsh. Milioni 419.7 kabla ya ushuru kwenye nchini litakakouzwa ingawa linaweza kupata punguzo la ushuru la hadi Tsh. Milini 93.2 chini ya mpango wa ruzuku wa Marekani.
Mwaka wa 2017, PepsiCo ilitoa oda ya malori 100 ya Tesla kwa lengo la kupunguza gharama za mafuta na uzalishaji.Katika mahojiano na CNBC mwaka 2021, bosi mkuu wa PepsiCo Ramon Laguarta alisema usafirishaji ulichangia 10% ya uzalishaji wa gesi wa kampuni hiyo.
===========================
Tesla Inc (TSLA.O) is starting Semi electric commercial truck production and PepsiCo Inc will get the first deliveries on Dec. 1, the electric vehicle maker's chief Elon Musk tweeted on Thursday. When Musk unveiled the prototype of the futuristic, battery-powered Semi in 2017, he said the Class 8 truck would go into production by 2019.
However, the timeline has been pushed multiple times due to part shortages and Musk said the production would be delayed to next year. In August, he announced the planned production of the truck. In another tweet, Musk reiterated that the vehicle has a range of 500 miles (805 km). It was not immediately clear how many Semi trucks the electric vehicle maker plans to produce.
The truck is expected to cost $180,000, although it would qualify for a tax break of up to $40,000 under a U.S. subsidy program approved by the Senate. Back in 2017, PepsiCo reserved 100 of Tesla's semi electric trucks as it sought to reduce fuel costs and fleet emissions.
In an interview with CNBC last year, PepsiCo's top boss Ramon Laguarta had said transportation accounted for 10% of the company's gas emissions. The maker of Mountain Dew soda and Doritos chips had previously said it aims to use the trucks to ship snack foods and beverages between manufacturing and distribution centers as well as to retailers.
REUTERS