PEPSI Official Sponsor Wasafi Festival 2018

Mh siku hizi kampuni kudhamini hazitaki zinaogopa kuonekana zina hela. Pepsi wamejitoa kimasomaso
 
Niache kugonga K Vant nihangaike na visoda vyenu? Mi ntasikiliza mziki wenu lakini soda yenyewe NO...

K VANT wanadhamini nini wajameni niwape sapoti? Haka kanywaji kanausuuza mtima wangu wallah
 
Mh siku hizi kampuni kudhamini hazitaki zinaogopa kuonekana zina hela. Pepsi wamejitoa kimasomaso
hiyo ni international product achana na hivi vidude vingine sijui fire Mo sijui ushuzi gani huko
 
Hapo ndo utajua wale wafuata upepo, wote nao wanahamia kwa Pepsi haahaa Hata alokuwa haipendi asahivi ataipenda...Hapana chezea promo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…