Pepsi Tanzania wameshindwa biashara tena

mk4

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
285
Reaction score
328
Kumbuka miaka ya 90s kampuni ya vinywaji baridi ya Pepsi ilipoteza soko tanzania mpaka kupelekea kiwanda kufungwa kwa miaka kadhaa, sasa Pespi wamekuwa na katabia kabaya sana ambacho wasipoanagalia watapoteza soko kama kipindi kile, mimi ni mnywaji mzuri wa kinywaji cha pepsi lakini ni kama mwaka sasa kila nikifungua soda ya Pepsi unakuta chupa imevunyika kidogo kwa juu, utafikiri labda ni ufunguaji mbaya.

Lakini nimejaribu mara nyingi lakini naona bado soda nyingi zimekuwa zina meguka kwa juu(sehemu ya mdomo wa chupa)nathani tatizo ni chupa kuchakaa sana na wala kutofanya recycling kwa chupa zao kama wafanyavyo Cocacola, mimi ni mnywaji mzuri wa kinywaji cha pepsi ningeshauri management iliangalie hili swala.
 
Sio hivyo tu mkuu ....bali pia chupa zao hupata sana kutu (rust) mdomoni ukizifungua. yaani hawa jamaa ni viazi kweli kweli. sijui na pepsi ya huko USA au Ufaransa nayo chupa zake zina kutu au ni za Tanzania tu.
 
Yani iyo inabore sana hunakuta chupa inakutukibao,ivi hakuna management huko au ndio mazoea ya kazi
 
Yani iyo inabore sana hunakuta chupa inakutukibao,ivi hakuna management huko au ndio mazoea ya kazi

mimi niliisha acha kunywa soda zao kitambo baada ya kuona umbwiga wao unaendela tu kila uchao.
 
Mi siku hizi nikitaka soda zao nanunua take away tu, hizi za chupa No sababu ya kutu na kumeguka midomoni
 
Mi siku hizi nikitaka soda zao nanunua take away tu, hizi za chupa No sababu ya kutu na kumeguka midomoni

Tuko njia moja mkuu, mimi pia i mwendo wa "T.A" tu.
Sijui jamaa hawajui kuwa chupa zao kimeo? sijui watu wa "Q.A" wanafanya kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…