Pepsi wameshaita short list?

Kambiaso

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
145
Reaction score
120
Naomba msaada wa taarifa kwa anaejua kama SBC TZ Ltd tayari wameshaita kwa zile kazi walizotoa October mwaka huu,kuna mtu aliniomba nimjuze kuhusu hili namm cna info.zozote nkaona hebu niulizie JF naamini ntapata info za uhakika.
 
Watu walishafanya interview na wengine walishaanza kazi. Ni nafasi gani aliomba? Upande wa Engineering na Quality Control walishaanza kazi.
 
unauhakika mkuu wameshafanya interview?
 
aiseeeeeee babaangu huu ndio uzuri utamu na umuhimu wa jf 2mshukuru mwanzilishi
 
Taarifa za uhakika, kesho kunafanyika interview pale NDC Makao makuu kwa zile nafasi zilizotangazwa September kwa ajili ya kiwanda kinachojengwa Kibaha. Nawasilisha.
 
Taarifa za uhakika kutoka SBC (T) Ltd zinasema interview kwa nafasi za cashier bado haijafanyika. Ila jana walifanya interview kwa nafasi za Accounts.

Kuhusu nafasi ya Security Officer kwa hapa Dar haipo labda plant za mikoani.
 
Asante sana Lotiro kwa taarifa,ubarikiwe...
 
Ila endelea kufuatilia kwani hizo taarifa zaweza badilikakwani niliyekuwa namtegemea kwa info ameresign.
 
samahani mkuu, mimi ni mmoja wa niliyeomba nafasi ya sales speciality. napenda unijulishe kama wameta na watu wa post hiyo
 
samahani mkuu, mimi ni mmoja wa niliyeomba nafasi ya sales speciality. napenda unijulishe kama wameta na watu wa post hiyo

Hizi nitawafanyisha mchana huu, wahi nitakuwekea nafasi kwa sababu wewe ni mtu wa JF! lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…