Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Al Ahly sio timu ya mchezo mchezo jamani, hadi mnaona watu wameenda Zanziba kwa mganga wao, wametoa kafara la ng'ombe, wameenda kivukoni kunywa supu ya pweza.
Wameshawishiana wakae uchi mchezo wa kesho kwa kuvaa msuli, wamekutanisha wazee akiwemo baba ake Bacca, wameweka nyota yao kwa Bacca na mauzauza mengi tu ili mradi kesho wapate ushindi.
Wameuchezea uwanja kwa namna wanavyojua wao, wameuroga uwanja kama walivowafanyia wale waliowapiga mabao 5 lakini wakae wakijua mpira ukiujua umeujua tu.
Kesho Percy Tau ataamka salama kabisa na huyo Yao Yao na Lomalisa hakika mtawakataa.