Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Utajikojolea amka ukakojoe na ndoto za mchana, mangungu bado amewashikia akili na mawazo ya ulozi Kila siku!Al Ahly sio timu ya mchezo mchezo jamani, had mnaona watu wameenda Zanziba kwa mganga wao, wametoa kafara la ng'ombe, wameenda kivukoni kunywa supu ya pweza, wameshawishiana wakae uchi mchezo wa kesho kwa kuvaa msuli, wamekutanisha wazee akiwemo baba ake Bacca, wameweka nyota yao kwa Bacca na mauzauza mengi tu ili mradi kesho wapate ushindi, wameuchezea uwanja kwa namna wanavyojua wao, wameuroga uwanja kama walivowafanyia wale waliowapiga mabao 5 lakini wakae wakijua mpira ukiujua umeujua tu, kesho Percy Tau ataamka salama kabisa na huyo Yao Yao na Lomalisa hakika mtawakataa.
Daaah!! Moja ya hasara za muingiliano wa makabila ni kukutana na JAMII ZINAZOAMINI USHIRIKINA KAMA WEWE.Al Ahly sio timu ya mchezo mchezo jamani, had mnaona watu wameenda Zanziba kwa mganga wao, wametoa kafara la ng'ombe, wameenda kivukoni kunywa supu ya pweza, wameshawishiana wakae uchi mchezo wa kesho kwa kuvaa msuli, wamekutanisha wazee akiwemo baba ake Bacca, wameweka nyota yao kwa Bacca na mauzauza mengi tu ili mradi kesho wapate ushindi, wameuchezea uwanja kwa namna wanavyojua wao, wameuroga uwanja kama walivowafanyia wale waliowapiga mabao 5 lakini wakae wakijua mpira ukiujua umeujua tu, kesho Percy Tau ataamka salama kabisa na huyo Yao Yao na Lomalisa hakika mtawakataa.
Dua la KukuAl Ahly sio timu ya mchezo mchezo jamani, hadi mnaona watu wameenda Zanziba kwa mganga wao, wametoa kafara la ng'ombe, wameenda kivukoni kunywa supu ya pweza.
Wameshawishiana wakae uchi mchezo wa kesho kwa kuvaa msuli, wamekutanisha wazee akiwemo baba ake Bacca, wameweka nyota yao kwa Bacca na mauzauza mengi tu ili mradi kesho wapate ushindi.
Wameuchezea uwanja kwa namna wanavyojua wao, wameuroga uwanja kama walivowafanyia wale waliowapiga mabao 5 lakini wakae wakijua mpira ukiujua umeujua tu.
Kesho Percy Tau ataamka salama kabisa na huyo Yao Yao na Lomalisa hakika mtawakataa.
Overated player.Al Ahly sio timu ya mchezo mchezo jamani, hadi mnaona watu wameenda Zanziba kwa mganga wao, wametoa kafara la ng'ombe, wameenda kivukoni kunywa supu ya pweza.
Wameshawishiana wakae uchi mchezo wa kesho kwa kuvaa msuli, wamekutanisha wazee akiwemo baba ake Bacca, wameweka nyota yao kwa Bacca na mauzauza mengi tu ili mradi kesho wapate ushindi.
Wameuchezea uwanja kwa namna wanavyojua wao, wameuroga uwanja kama walivowafanyia wale waliowapiga mabao 5 lakini wakae wakijua mpira ukiujua umeujua tu.
Kesho Percy Tau ataamka salama kabisa na huyo Yao Yao na Lomalisa hakika mtawakataa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Madeane katoa warning kwa Yanga sio?Kweli Uto wameyatimba, Madeana kamchapa mbabe wao.
Sasa wao itakuwaje...
Pacome ulipatia,.[emoji23][emoji23][emoji23]Ahly analala 2 _1 muda taongeaaà bao 1 Key lingine Pacone......assist ya chomekeaaaa
Kasubiri lomalisa katoka ndio kafungakumbuka huyo tau atapambana lomalisa
Ashukuuru alitokaKasubiri lomalisa katoka ndio kafunga