reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Huyu jamaa unaambiwa kuna hata baadhi ya viongozi wa fifa wapo mfukoni, Madrid walishapewa ofa wakubali ule uwanja uhamishwe pale katikati ya mji wajengewe viwanja viwili vya hadhi ya juu akagoma, na aliyetowaga wazo hilo bungeni nae kiti kikaota nyasi. Kumbuka alishawah kua rais wa madrid akatoka wakamrudsha tena mana wanamwaminia kwa fihi na fitina za usajili wenye utata.
Yupo benet sana na familia ya kifalme.
Subiria kat ya hawa watu bernabeu: Mbape, Hazard, De Brune au Neymar, perez furaha yake n fitna na black deals kama wauza ngada wa mekiko. Ana akili sana yule jamaa, Hawez akamtoa Ronaldo halaf hakufkria mbadala wake. Yeye kununua mchezaji Airport na kumbadilishia root fasta haoni shda na hua haogopag lawama na hakuna mtu barcelona wanamchukia kama perez.