Perez ni mzee wa black deals, kuna alichopanga subirini suprise

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
6,813
Reaction score
21,807
Huyu jamaa unaambiwa kuna hata baadhi ya viongozi wa fifa wapo mfukoni, Madrid walishapewa ofa wakubali ule uwanja uhamishwe pale katikati ya mji wajengewe viwanja viwili vya hadhi ya juu akagoma, na aliyetowaga wazo hilo bungeni nae kiti kikaota nyasi. Kumbuka alishawah kua rais wa madrid akatoka wakamrudsha tena mana wanamwaminia kwa fihi na fitina za usajili wenye utata.

Yupo benet sana na familia ya kifalme.

Subiria kat ya hawa watu bernabeu: Mbape, Hazard, De Brune au Neymar, perez furaha yake n fitna na black deals kama wauza ngada wa mekiko. Ana akili sana yule jamaa, Hawez akamtoa Ronaldo halaf hakufkria mbadala wake. Yeye kununua mchezaji Airport na kumbadilishia root fasta haoni shda na hua haogopag lawama na hakuna mtu barcelona wanamchukia kama perez.
 
Mkuu hakuna cha suprise hiki kitu ni lazima kitokee. Hapa ni suala la option tu kati ya hao uliowataja nani atachukuliwa. Pia Madrid inahitaji kusuka upya kikosi maana wengi umri umeenda, wanahitaji addition mbili tatu za nguvu.
 
Mbna hapa hmna cha ajabu wala black deal,kamuuza cr7 wana hela kumbeba mchezaji yyte na gawavunji ffp,nothing new wala fitna hakuna,money talks.
 
Hakuna mbadala sahihi wa Ronaldo.
Ila Neymar anafaa kuliko hazard,na kama watamchukua hazard itawabidi watafute forward kaliba ya harry Kane au Kane mwenyewe wakiweza.
 
Guys hebu tuweni serious kidogo....hiv mbape ana kipi cha kufanya watu wamwogope.
Hili swali muulize Diego Maradona na Messi....pamoja na waajentina,kisha kawaulize uruguay sanasana Diego Godin kisha malizia kwa Verttoghen na hazard kisha lete mrejesho
 
Kibiashara Neymar atasajiliwa nje ya uwanja vitu vingi vinambeba Neymar mbele ya Hazard hivyo kama madrid itahitaji mtu mmoja basi bila shaka ni Neymar Jr japo perez anaweza fanya usajili mkubwa kwa kubeba hata nyota wawil kwa mpigo
 
Kibiashara Neymar atasajiliwa nje ya uwanja vitu vingi vinambeba Neymar mbele ya Hazard hivyo kama madrid itahitaji mtu mmoja basi bila shaka ni Neymar Jr japo perez anaweza fanya usajili mkubwa kwa kubeba hata nyota wawil kwa mpigo
Neymar ana economic profit ukimlinganisha na Hazard
 
lukaku hua ananishangaza sana, hv straiker gan ana kilo 94? Tena kumbuka hapo amejitahd sana kupunguza alikua na 100.2kg, mtu upo uwanjani lakn kama upo windo Mwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…