Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
Ulishambiwa marehemu ruge alikuwa anaajiri kwa uzoefu wako wa kuzungumza haangalii elimu
Mbona hao wengine uwezo atleast upo??..yaani huyu kutangaza hawezi achilia mbali elimu
Kwahiyo na sisi watanzania tunaokosoa serikali inabidi tusifanye hivyo ila tuhame nchi??Achana naye sikiliza vipind vingine
Nafasi gani ya kutosha ikiwa tu hata on point imemshinda amepewa mtu mwingine??Kabla ya kurudishwa kwake xxl alikua anasimamia kipindi cha pekeyako siku ya jmosi...jamaa yuko vzr ila kwenye kipindi kile alipo hapewi nafasi ya kutosha
Kile kipindi kilikua kinaitwa Klabu10 na....Saiv anapindi linaitwa On point kila jumapili saa10 hadi 12Kabla ya kurudishwa kwake xxl alikua anasimamia kipindi cha pekeyako siku ya jmosi...jamaa yuko vzr ila kwenye kipindi kile alipo hapewi nafasi ya kutosha
Amemwachia John Jackson "Msanuaji"sio kwamba yupo kwa muda2 ila mnyama mkali atarudi2??Nafasi gani ya kutosha ikiwa tu hata on point imemshinda amepewa mtu mwingine??
On point yupo John Jackson siku hiziKile kipindi kilikua kinaitwa Klabu10 na....Saiv anapindi linaitwa On point kila jumapili saa10 hadi 12
Me najua Msanuaji yupo kwa muda tu au mimi ndo sielewi?On point yupo John Jackson siku hizi
Tokea mwaka jana ndo yeye anafanya on point..utasemaje yupo kwa muda??Me najua Msanuaji yupo kwa muda tu au mimi ndo sielewi?
Doooh hana chake tena chaliangu akati pindi alilichora mwenyewe nakumbuka siku lina'introduziwa Dr.Isaac Maro aliizungumzia kidogo pindi anamalizia njia panda.Tokea mwaka jana ndo yeye anafanya on point..utasemaje yupo kwa muda??
Doooh hana chake tena chaliangu akati pindi alilichora mwenyewe nakumbuka siku lina'introduziwa Dr.Isaac Maro aliizungumzia kidogo pindi anamalizia njia panda.
Doooh hana chake tena chaliangu akati pindi alilichora mwenyewe nakumbuka siku lina'introduziwa Dr.Isaac Maro aliizungumzia kidogo pindi anamalizia njia panda.