Perfect Money

Kifuyo

New Member
Joined
Jan 14, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Habari za wakati jukwaa, Naomba msaada kwa wenye uelewa jinsi ya kufanya deposit kwenye account ya perfect money.
 
Mbona hata hizi mobile money zinafaa kabisa. Mpesa, tigo etc
 
Habari za wakati jukwaa, Naomba msaada kwa wenye uelewa jinsi ya kufanya deposit kwenye account ya perfect money.
Mobile money za bongo zinafanya mbona miaka sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…