fimbombaya
Member
- Apr 11, 2011
- 47
- 12
Wadau nisaidieni tiba kunusuru ndoa yangu!ninatatizo ambalo limenitokea mara kadhaa sasa hasa ninapokua ninangonoka baada ya goli la kwanza tu basi mashine haisimami tena suala ambalo limeleta mgogoro na mwenzangu akinituhumu kuwa nacheza mechi za nje na nikifika kwake huwa nimechoka.