ccm yanga:tape2:
Mbumbumbu bana hata wakiwa watisa wanachonga tu
Je, wajua kuwa jina 'mbumbumbu' lina herufi 9 na ndiyo nafasi yao katika ligi?
its dat true?
ccm yanga:tape2:
Soka ni kama dini, huwezi kusema ukiwa chama fulani ndio utakuwa Yanga au Simba etc.