Perfume lovers: Ni perfume gani nzuri zaidi kati ya hizi?

CREED inapendeza lakini matawi yake marefu!!!
 
Woote wameongea lakini kuna perfume inaitwa Versace eros ni perfume flani imetulia alafu inasambaa inapenya. Alafu bei yake 200k tu. Hizo zote wametaja ni creed tu inayoweza ifunika Versace eros
 
Tafuta Amouage ni habari nyingine ile kitu
 
Huu uzi bila picha ni sawa na chipsi bila yai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…