Perfume na Spray original

Big Dy

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
478
Reaction score
585
Habari za mda huu wadau. Karibu ujipatie original perfume ya chaguo lako. Bei zake ni nzur kabisa call/whatsapp:0659782778, whatsapp only +44 7771896993

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi biashara za madalali za njoo wasap zinakera sana. Vipafyumu vyenyewe vinne tuu huweki bei hii maana yake wewe ni dalali au tapeli.
 
Blue 4 Men unayo?
Naitambuaje kama ni fake au siyo fake?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 


Nadhani hata mdau hapo juu kaulizia Creed hii
 
Hapana mkuu hatuna hiyo kutokana bei yake tutaishia kuifuta vumbi tu

Utasemaje mtaishia kuifuta vumbi kwasababu ya bei huku sisi wengine tunaiulizia? Kuna watu wenye matawi marefu humu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…