INAUZWA Perfume nzuri kwa bei ya kawaida

Bango linajieleza,Hii ni leo tu March 13 2021.

Fika dukani kwetu magomeni mikumi au text,call or whatsapp 0744551655 kuweka oda yako.

 
Bro sijawah tumia yoyote kati ya hizo, je nataka unshauri , kati ya hizo ipi itanifaa nijipange niingie dukan hapo
 
Unawezaje kufanya shuguli zako za kila siku pasi na kunukia fresh.!??? How come upo na wadau wako wa maendeleo alafu unanukia jasho lako.!?[emoji3] naona haiji kabisa.

Leo nakuletea perfume za sansiro kwa bei ya 20,000tsh na perfume za kihayyati kwa 28,000tsh tu.

Call,text and WhatsApp 0744551655 au karibu dukani kwetu magomeni mikumi kujionea perfume mbalimbali.

Tunafanya delivery ndani na njee ya nchii.

NB;perfume zetu zinakaa kwenye nguo si chini ya saa 8, refund ni ndani ya saa 24.









 
Nukia mpaka basi na MAAHIR PERFUME kwa 75,000tsh tu..unapaka mara moja unasahau jasho lako.

Tupigie 0744551655 au fika dukani kwetu magomeni mikumi kuona bidhaa zetu.

 
J5 ya kunukia kibosi na PARADOX PERFUME Kutuka dukani kwetu kwa gharama nafuu kabisa ya 75,000tsh inatakokufanya unukukia siku nzima.

Tupigie 07445551655 au fika dukani kwetu magomeni mikumi kwa maelezo zaidi na kuona bidhaa zetu mbalimbali




 
Dah mkuu naona bei zako ni rafiki, nimekua nikitumia hizi za kupima ni kweli zinanukia vizuri lakini hazikai sana kwenye nguo yaani ndani ya masaa mqtano basi inachuja.
Vipi kuna ambazo harufu yake sio kali sana lakini zinadumu kwa angalau masaa 10? Na bei yake isizidi elfu 50?

Kama zipo naomba unijulishe ni za ujazo gani.

Asante
 

Zipo

Ujazo mils 100

Bei 28,000,35,000&50,000

Nipigie 0744551655 au karibu dukani kwetu magomeni mikumi kujionea na kujaribu ladha mbali mbali za perfume tulizonazo.
 
Mbona perfume zenyewe za kigaidi? Al Shabaab sio watu wazuri ujue
 
Mbona perfume zenyewe za kigaidi? Al Shabaab sio watu wazuri ujue

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hayo ni majina ya kiarabu yenye maana mbalimbali..mfano al shabaab kwa uelewa wangu maana yake shupavu..yaani kijana shupavu..kwa hyo ukiona sultan al shabaab maana yake mtawala shupavu..so ukipaka perfume ya sultan al shabaab unakuwa hali ya kujiamini kama alivyo sultan mwenyewe [emoji16]..karibu.
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri. Mimi huwa natumia Blue seduction By Antonio Banderas, je naweza kupata?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…