Perfume /spray

Ukiwa unaenda feri upande wa kulia opposite na mahakama kuu

Zinauzwa pafyum i mean perfume kwa buku tu ukipaka unanukia wiki nzima swaafi kabisa [emoji2]
 
Hatari sana hivyo vidude. Afu kuna vile vyenye goroli
Navijuaa mkuu.

Enzi hizo nasoma maza alikuwa ananiita kabla sijaenda skuli ananipaka nipunguze jasho.

Dah.

Nilikuwa naona mia tano nyingi sana aisee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
 
mkuu unanunua uwanja au perfume. ww ungekuwa na iyo hela siungehama dunia uishe huko Pluto au Mars lol
 
Kweli watanzania wengi ni maskini. Kama unaaamini perfume ya 550USD inakufanya uhame duniani basi Umaskini uliopo ni wa kiwango kikubwa sana kuliko inavyosemwa.

Nmesikitika sana.... Sasa ukiona magari yangu n.k badala ya kuhamia pluto si utataka nikuoe uhamie kwangu?

mkuu unanunua uwanja au perfume. ww ungekuwa na iyo hela siungehama dunia uishe huko Pluto au Mars lol
 
yaani ni unfair kubreath same oxygen na ss walala hoi .u derseve flavoured oxygen. inaonekana unaishi Kwa ndoto pole sana mkuu .na swala la ndoa inapendeza ukaoe mama yako.
 
Maisha yamekugonga sana.... Hapo unaweza jipelekea ukaolewe hata na mtoto wa bakhresa....😁😁😁😁

yaani ni unfair kubreath same oxygen na ss walala hoi .u derseve flavoured oxygen. inaonekana unaishi Kwa ndoto pole sana mkuu .na swala la ndoa inapendeza ukaoe mama yako.
 
Maisha yamekugonga sana.... Hapo unaweza jipelekea ukaolewe hata na mtoto wa bakhresa....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
mkuu utanifanya nipigwe ban humu .do me a favour usilete uzi za kisenge nitakutukana . wenye hela zao hawaongei. Acha misifa wanaume hawajisifu. au ww upo kwenye list ya dudu baya. (oil chafu )
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316] tajiri wa jf
 
mkuu unanunua uwanja au perfume. ww ungekuwa na iyo hela siungehama dunia uishe huko Pluto au Mars lol

Kiduku lilo ni tajiri ana pesa hizo pesa ndogo ndogo hazimsumbui
 
mkuu utanifanya nipigwe ban humu .do me a favour usilete uzi za kisenge nitakutukana . wenye hela zao hawaongei. Acha misifa wanaume hawajisifu. au ww upo kwenye list ya dudu baya. (oil chafu )

Don’t take it serious bana sisi wenyewe tumechoka nyuzi za kimaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…