permanent artificial teeth

permanent artificial teeth

frozen

Senior Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
135
Reaction score
32
Salam,
Tafadhari naitaji kuweka Permanent artificial teeth . Nímetumia denture za kuweka na kutoa naona zina nisumbua , so nataka kuweka mano ya bandia ya kudumu .

Nipo dar, tafadhari mwenyekujua matibabu haya , faida zake tofauti na yale ya kutoa, madhara yake , gharama na mahali ambako huduma hii inapatikana.

Naomba msaada wenu .

Asante
 
Mkuu jino likitoka unaweza weka la kudumu?
naunga nawe kungoja majibu hapa hapa.
 
Back
Top Bottom