Salam,
Tafadhari naitaji kuweka Permanent artificial teeth . Nímetumia denture za kuweka na kutoa naona zina nisumbua , so nataka kuweka mano ya bandia ya kudumu .
Nipo dar, tafadhari mwenyekujua matibabu haya , faida zake tofauti na yale ya kutoa, madhara yake , gharama na mahali ambako huduma hii inapatikana.
Naomba msaada wenu .
Asante