Permanent data storage

Permanent data storage

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Wadau wa tech sijawai kukosa majibu. Kweli watu wa tech ni smart and generous.

Watu wa jukwaa la sheria tutawajadiri siku nyingine.

Sasa katika kutafuta njia ya kisasa ya kutunza movies nikahis kuna kifaa zaid ya hizi HDD ambazo zina expire na data kuharibika.

Je, kwa kifaa na si kutunza kwa internet kuna nini cha kuanzia 2tb kutunza data zangu?
 
Vifaa vyote vinaweza kuharibika au "vinaexpire" hata hizi blueray/dvd zinaoza baada ya muda fulani, blueray recordable disk ina uwezo wa hadi 50GB na kama ni quality nzuri na ikiwekwa katika hali nzuri sio joto kali, bila unyevu na sio juani itakaa miaka 10-30.

Njia ya kawaida ya kukabiliana na hard drive kuharibika ni kutumia RAID array, huu ni mfumo wa kutumia HD kadhaa na data kugawanywa katika HD hizo kitaalamu so hata HD moja au mbili zikifa data bado inakuwa salama. Ila kwa muvi hii ni kupoteza hela bora udownload upya hizo muvi, data ambazo ni original ndo muhimu kuzitunza. Njia simple sana ila manual ni kuwa na HD mbili na kutunza data mara mbili, chance za HD zote kuharibika kwa mpigo ni ndogo sana kuna software kama FreeSync unaweza kuiset ikopy data zote kutoka a to b kila muda fulani, ila haitatui tatizo la wizi au majanga kama moto etc hap unahitaji cloud.


Amazon product ASIN B081QKVD83
 
Njia rahisi kitunza data zako bila kupokea tumia cloud kama MEGA na zinginezo
Njia ngumu na huwezi poteza Datta labda upoteze kifaa hicho nakuj kuelezea
 
Back
Top Bottom