Wadau wa tech sijawai kukosa majibu. Kweli watu wa tech ni smart and generous.
Watu wa jukwaa la sheria tutawajadiri siku nyingine.
Sasa katika kutafuta njia ya kisasa ya kutunza movies nikahis kuna kifaa zaid ya hizi HDD ambazo zina expire na data kuharibika.
Je, kwa kifaa na si kutunza kwa internet kuna nini cha kuanzia 2tb kutunza data zangu?