Peroneal Nerve Damage: A Question About Treatment.

Mawaiba

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
417
Reaction score
151
Habari za week end wana jamvi...

Tafadhali naomba maelezo ya kina toka kwa mtu yeyote mwenye utambuzi wa kitaalamu kuhusu tatizo la kiafya linalojulikana kitaalamu kama Foot Drop. Nimefikia uamuzi wa kuuliza toka kwenu kwa sababu itokanayo namaelezo yafuatayo:-

Kijana wangu wakiume, umri wake ni miaka 24, alipata ajali ya kuanguka na pikipiki yapata wiki nne zilizopita. Ingawa hakupata mjeraha yaliyopelekea kutokwa na damu sehemu yoyote ya mwili wake, lakini baada ya kukutana nae jana niligundua kwamba hali aliyonayo ilikuwa inahitaji msaada wa kitaalamu.

Kifupi ni kwamba alipopata hiyo ajali alikuwa anaishi eneo ambalo hakuna madaktari waliokuwa na uwezo wa kung'amua tatizo alilolipata kutokana na tukio hilo. Baada ya kurudi nyumbani, na mimi kugundua kwamba ana tatizo lisilo la kawaida niliandaa mazingira ya kumkutanisha na daktari ambaye baada ya kupata maelezo ya mgonjwa aliniambia kijana wangu ana tatizo linalojulikana kama foot drop, ambapo baada ya kufanyia matibabu ya viungo kwa hatua ya awali na kumpa maelekezo ya jinsi anavyotakiwa uendelea na matibabu hayo kwa siku za baadae pia alimuandikia atumie dawa ili atumie.

Baada ya kuambiwa kwamba kijana wangu ana tatizo hilo la foot drop, nilitaji kutafuta taarifa za ziada kuhusu tatizo hili, na baada ya kwenda kwenye Google nikakutana na maelezo yaliyokuwa ni kisayansi zaidi kiasi kwamba nilishindwa kupata majibu juu ya kile nilichotaka kukijua, ambayo ni haya;-
1)Kwamba Foot Drop inaweza kuwa permanent au temporary. Kwahiyo nikataka kujua kama hili tatizo la kijana wangu lipo katika category gani?
2)Kwamba kutokana na upeo wangu mdogo wa kibaiolojia nilikuwa najua kwamba nerve damage huwa haiwezi kuwa recovered.

Kwa maana hii wana Jf, ninaimani hili nijukwaa la wataalamu, naomba mnijuze khs hatma ya mguu wa kijana wangu kwamba je, ni ulemavu wa kudumu au anaweza kurudi katika hali yake ya kawaida?
 
tatizo linalohusu nerve siyo dogo mkuu, ni vigumu mno kutibu nerve au naweza kusema haitibiki, kwa watakaopinga hili basi watatoa maelezo ya kutosheleza,.

Fracture inatibika ila atachechemea!!
 
Habari za week end wana jamvi...

Tafadhali naomba maelezo ya kina toka kwa mtu yeyote mwenye utambuzi wa kitaalamu kuhusu tatizo la kiafya linalojulikana kitaalamu kama Foot Drop. Nimefikia uamuzi wa kuuliza toka kwenu kwa sababu itokanayo namaelezo yafuatayo:-

Kijana wangu wakiume, umri wake ni miaka 24, alipata ajali ya kuanguka na pikipiki yapata wiki nne zilizopita. Ingawa hakupata mjeraha yaliyopelekea kutokwa na damu sehemu yoyote ya mwili wake, lakini baada ya kukutana nae jana niligundua kwamba hali aliyonayo ilikuwa inahitaji msaada wa kitaalamu.

Kifupi ni kwamba alipopata hiyo ajali alikuwa anaishi eneo ambalo hakuna madaktari waliokuwa na uwezo wa kung'amua tatizo alilolipata kutokana na tukio hilo. Baada ya kurudi nyumbani, na mimi kugundua kwamba ana tatizo lisilo la kawaida niliandaa mazingira ya kumkutanisha na daktari ambaye baada ya kupata maelezo ya mgonjwa aliniambia kijana wangu ana tatizo linalojulikana kama foot drop, ambapo baada ya kufanyia matibabu ya viungo kwa hatua ya awali na kumpa maelekezo ya jinsi anavyotakiwa uendelea na matibabu hayo kwa siku za baadae pia alimuandikia atumie dawa ili atumie.

Baada ya kuambiwa kwamba kijana wangu ana tatizo hilo la foot drop, nilitaji kutafuta taarifa za ziada kuhusu tatizo hili, na baada ya kwenda kwenye Google nikakutana na maelezo yaliyokuwa ni kisayansi zaidi kiasi kwamba nilishindwa kupata majibu juu ya kile nilichotaka kukijua, ambayo ni haya;-
1)Kwamba Foot Drop inaweza kuwa permanent au temporary. Kwahiyo nikataka kujua kama hili tatizo la kijana wangu lipo katika category gani?
2)Kwamba kutokana na upeo wangu mdogo wa kibaiolojia nilikuwa najua kwamba nerve damage huwa haiwezi kuwa recovered.

Kwa maana hii wana Jf, ninaimani hili nijukwaa la wataalamu, naomba mnijuze khs hatma ya mguu wa kijana wangu kwamba je, ni ulemavu wa kudumu au anaweza kurudi katika hali yake ya kawaida?

mkuu ngoja nikupe mwanga kidogo ....

foot drop ni tatizo linalotokea baada ya kuharibu nerve (fibular nerve) ambayo inasupply muscles za mbele ya mguu hii inapelekea zile muscle kushindwa kufanya kazi yake ya kawaida ya kuinua kiganja cha mguuni.

kwahiyo kiganja kinakua kama vile kimenin'ginia na mtu anashindwa kutembea

tatizo hili linaweza kutokea pia kama umeziaribu zile muscle kiasi kwamba zenyewe zinashindwa kufanya kazi.

lakini in your son's case inaonekana kua ni nerve demage...sasa kwa bahati mbaya mkuu once nerve cells are demaged they are never replaced kwahiyo hilo tatizo ni la moja kwa moja.

ila ingekua ni muscles tu ndo zimekua demaged na haija involve nerve yeyote basi tatizo lingekua temporary coz muscle cells zina some degree of regeneration
 
duuuh,,,
 
Asante kwa maelezo hayo mkuu. Kwahiyo mazoezi ya ku-stretch muscles kwa kuinua kiganja cha mguu kwa msaada wa kitu kama mpira wa manati(yaani kama ule wa kufungia mizigo kwenye baiskeli) yanaweza kumsaidia vipi mtu mwenye tatizo la aina hii?
 
Back
Top Bottom