Persecution of the Church of Jesus Christ has started in Canada


Yatakuwa yale ma conspiracy theories ya Corona na chanjo zake yamewachosha.

Kumbe huko ndiko mliko na mizizi?
 
Yatakuwa yale ma conspiracy theories ya Corona na chanjo zake yamewachosha.

Kumbe huko ndiko mliko na mizizi?
Mpuuzi kweli kweli wewe.Yaani ulivyo mind controlled hata umeshindwa kuona utapeli ulioko ndani ya Corona.Serikali yenyewe imeandaa consent form 👇ya kukusainisha ili usiweze kui-sue incase of any problems,hustuki tu.IQ yako ndogo sana.Wenyewe wamenena vema kuhusu watu kama ninyi👇.





 
Mkuu Mungu ametuletea Dini ili tupate mafundisho na amri jinsi ya kuishi Duniani
Mungu ameleta Wokovu kupitia kwa damu ya Mwanae Yesu Kristo iliyomwagika msalabani mkuu.Dini ni mpango wa Shetani wa divide and conquer.Neema aliyoleta Kristo Yesu kupitia kwa damu yake aliyomwaga msalabani ndiyo inayotufundisha jinsi ya kuishi duniani sio dini.Lucifer kawaingiza mkenge kupitia kwa agent wake Muhammad.Poleni sana.Geukeni muupokee wokovu ili hatimaye muuridhi uzima wa milele.Bwana Yesu amesema,"mimi ndiye kweli na uzima,hakuna atakaye rithi ufalme wa Mungu bila kupitia kwangu."
 
Yesu
Mungu ameleta Wokovu kupitia kwa damu ya Mwanae Yesu Kristo iliyomwagika msalabani mkuu.
Sasa tunaambiwa Yesu atarudi anakuja kufanya nini wakati alishatuokoa na kawajibika kwa ajili yetu
 
Yesu

Sasa tunaambiwa Yesu atarudi anakuja kufanya nini wakati alishatuokoa na kawajibika kwa ajili yetu
Hivi wewe ni Muislamu kweli,hata Qur'an inakiri kwamba Bwana Yesu ndiye atakaye wahukumu Wanadamu wasioitii kweli kwa kumkataa Bwana Yesu kama wewe.

Anyway,ni kweli Bwana Yesu atarudi ku-set Gods' Kingdom here on Earth kama Mungu alivyokuwa amekusudia initially,halafu Lucifer akavuruga mpango wake kwa kumdanganya Hawa.Bwana Yesu ndiye aliyekuja ku-restore the plan through shedding of his blood at the cross,so you can see how serious it is to deny Him as you have done by being on the side of Lucifer.

After Jesus Christ has destroyed Satan, the original plan which was to make the World as as an extention of Gods' heavenly Kingdom will be initiated.Karibu tuwe wadau kwenye mpango huo Mkuu.It is simple,you just have to believe in the redemption work of Jesus Christ at Calvary by his precious blood.
 
God is spirit so you are, so is your grandmother and your grandfadher, then why worshiping the spirit of Middle East forefathers?

Why God of Abraham, Isack and Jacob why not God of your Ancestors why you worship the God of somebody else ancestors (Israel) why not yours? And guess what the so called Israelites are not the original one do your research.

Better being misinformed than being brainwashed by the people who oppress your forefather, and they still on it till today oppressing you and they are about to enslave you with the hoax virus
 
Makanisa
You forgot to tell us why the Canadian PM is asking the Pope to apologize to the indigenous Canadians.
Yanawakilisha mamia ya iman nje ya imani ya pope
 
Kwa maana hiyo hata Yesu aliamini Mungu wa Wayahudi yeyé mwenyewe atakuwa Luciferian ? Maana Kwa Wakristo, inategemea dhehebu , kuna wengine Yesu ni Mungu mkuu, mtoto wa Mungu n.k
Tuanzie hapo.
 
Kutotumia uzazi wa mpango kwa baadhi ya watu kunaleta vihoja vingi sana duniani wakiwemo nutcase conspiracy theorists.
Yatakuwa yale ma conspiracy theories ya Corona na chanjo zake yamewachosha.

Kumbe huko ndiko mliko na mizizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…