mwanamasala
JF-Expert Member
- Jun 20, 2009
- 248
- 12
Ujamaa na ukoministi umetufanya vibaya sana.Tunaabudu sana viongozi wetu na wao kujion kama Mungu Mtu.Hata media zetu zinachangia sana.
Hata our favourite JF is facing the same from its contributors.
Fanya research ndogo kwenya shule za Msingi na Sekondari.Utaona majina kama Bayi,Salmin,Malecela ,Mwinyi,Mkapa ,Kawawa na wengine wengi.Tunaweza
kumkubali Nyerere kwa hilo,though not much!
Uingereza huwezi ukapata shule inayoitwa Margaret Thatcher,Tony Blair,Harold Wilson,Edward Health etc.Hawa walikuwa great PM wa Uingereza.Hata great war leader hawamuabudu kama sisi tunavyomuabudu
Nyerere!
Mpaka leo sielewi yule binti wa MAKAMBA amekuwa na hits nyingi hapa JF watu wakimsifikia .Oh my God!What is she special?Vodacom?
Leo nasoma photoglob ya Michuzi,eti January Makamba,mtoto wa MAKAMBA anahojiwa!Come on Makamba jamani amefanya nini cha muhimu hapa Tanzania??????
Tuachane na huu ukwara.