Perspective, KDF soldiers in pictures, advanced military in EA

All in all magaidi waliwazidi akili na hizo jet zenu zilionekana hazina maana yoyote

Kdf ndio nchi pekee ukanda huu wajeda wake kupigwa na kambi yao kutekwa hivyo basi hizo picture zenu ni sawa na mbwa koko

Sent using my iPhone using jamiiforum app
At least I hammered something into your thick brain😂😂....anyway I also hear that
Idd Amin occupied one of your provinces for months .untill you got help from outside.
 
Je tanzania ivi wana navy? Sijawahi skia na sisemi zile mashua za waarabu wa pemba.
Ask Colonel Mohamed Bacar of Anjouan.

He will tell you more about TPDF's Navy Army.

I'm sure he escaped death to tell the tale back then 2008.

TPDF hawaoneshi vifaa tupu wanaonesha vita walizoshida kama ya Uganda, hiyo ya kumtoa Kanali Bacar, na ya kuwaondoa kabisa ktk vita M23.

Hizi mission zote wamewafuta kabisa adui. Tupe record za KDF imeshinda vita gani na kumfuta kabisa adui asirudi tena vitani?

Vifaa vizuri bila askari wazuri havishindi vita kama plan ni mbovu na professionalism na ujasiri hakuna.
 
Fafanua zaidi hapo kwa tanzania ulipoitaja

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mpiganaji wa alshabaab nchini somalia mwenye asili ya Ki Tanzania aliuwawa kwa tuhuma za kuwa jasusi aliyekuwa na ushirikiano na vyombo vya Dora kutoka Kenya.
 
Mpiganaji wa alshabaab nchini somalia mwenye asili ya Ki Tanzania aliuwawa kwa tuhuma za kuwa jasusi aliye kuwa na ushirikiano na vyombo vya Dora kutoka Kenya.
I hope i was able to explain my self well.
 
Idd amin alikalia aridhi ya Tanzania kwa siku 19 kipindi hicho majeshi ya Tanzania yalikuwa yakisuka mikakati kabambe ya kumpiga mpaka kwake(tpdf huwa hawakurupuki)

Idd amin aliteka wilaya mbili tpdf ikamlipa kwa kuteka Uganda yote[emoji23][emoji23][emoji23]

Magaidi walikaa siku ngapi Westgate?
Je mmeshawamaliza ?
At least I hammered something into your thick brain[emoji23][emoji23]....anyway I also hear that
Idd Amin occupied one of your provinces for months .untill you got help from outside.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Sasa unaona kuwa mpaka watanzania waliamua kutoa maisha yao ili kuwasaidia kupata taarifa za kijasusi

Kumbe watanzania ni watu safi saana
Mpiganaji wa alshabaab nchini somalia mwenye asili ya Ki Tanzania aliuwawa kwa tuhuma za kuwa jasusi aliyekuwa na ushirikiano na vyombo vya Dora kutoka Kenya.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Sawa tufanye kdf walipoteza maisha ni 10 basi lkn kinachosikitisha ni kuwa kambi ilitekwa na ikawa chini ya udhibiti wa magaidi na kibaya zaidi kdf wana ruhusa ya kupambana na al shabab

Tpdf walivamiwa kambini wakapoteza askari 14 kwenye mapambano ya masaa kumi na tatu (kumbuka hawaruhusiwi kujibu mashambulizi wakiwa drc) lkn kambi yao haikutekwa kuonesha kuwa tpdf wana uwezo mkubwa wa kimapambano

Kazi wape tpdf
Picha wapige KDF

200 is still huge numbers but your exaggeration is not pleasing at all

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Westgate sijui Kama wale magaidi walimalizwa ama walitoroka labda nikipata taarifa za DNA za maiti waliopatikana baada ya jeshi kulipua Lile jumba.
 
Sasa unaona kuwa mpaka watanzania waliamua kutoa maisha yao ili kuwasaidia kupata taarifa za kijasusi

Kumbe watanzania ni watu safi saana

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Watanzania wengi Somalia ni magaidi .Juzi wengine wamekamtwa wakitaka kuvuka mpaka kuelekea Somalia.Pia pale Garissa Kuna gaidi mmoja aliyekuwa na asili ya kitanzania
 
Magaidi wa Westgate waliondoka salama kabisa bila hata mkwaruzo na mpaka njia waliyotumia kuondokea iligundulika
Westgate sijui Kama wale magaidi walimalizwa ama walitoroka labda nikipata taarifa za DNA za maiti waliopatikana baada ya jeshi kulipua Lile jumba.

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Westgate paliwatoa kamasi,hao hawakuwepo?
 
Watanzania wengi Somalia ni magaidi .Juzi wengine wamekamtwa wakitaka kuvuka mpaka kuelekea Somalia.Pia pale Garissa Kuna gaidi mmoja aliyekuwa na asili ya kitanzania
Now Kenya kila mtz anaevuka bora kwenda Somalia huwa mnamkamata na kudai ni gaidi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Pozi kabisa la picha hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hii bomber Kenya waliitoa wap?

Na hayo mabomu yaliangushwa wapi?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…