Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Tutafute pesa sana, jirani yangu kanunua TV mpya alafu ananiuliza kama nahitaji box?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa Bora huyo!kuna ndugu yangu nilikuwa namsaidia kwa moyo wote!Sasa hivi kazifuma anajeuri balaa,majigambo kwa sana,nabaki nimeduwaa!Tutafute pesa sana, jirani yangu kanunua TV mpya alafu ananiuliza kama nahitaji box?.
Kumbe ni wewe jirani.Tutafute pesa sana, jirani yangu kanunua TV mpya alafu ananiuliza kama nahitaji box?.
😂😂😂Tutafute pesa sana, jirani yangu kanunua TV mpya alafu ananiuliza kama nahitaji box?.
Tutafute pesa sana, jirani yangu kanunua TV mpya alafu ananiuliza kama nahitaji box
😂 Wee jamaa miyeyusho sanaTutafute pesa sana, jirani yangu kanunua TV mpya alafu ananiuliza kama nahitaji box?.
Kuitafuta sana pesa haikupi guarantee ya maisha you know nothing about money.Tutafute pesa sana, jirani yangu kanunua TV mpya alafu ananiuliza kama nahitaji box?.
Alisema ole wake nione mtu kapeleka pua yake na mkta vidoleNakumbuka kipindi nakua kuna jirani akanunua tv 📺 na deki ya mikanda alafu akaja kumwambia bi mkubwa waruhusu wanao wajage kuangaliaa tv😂😂😂😂