Pesa kwa ajili ya maendeleo kwa vijana ni msamiati kwa vijana

Huey freeman

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
593
Reaction score
248
Leo nimemsikia dada yangu Ester Bulaya akisihi serikali kuongeza pesa kwa
ajili ya maendeleo ya vijana katika bajeti ya
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo ambayo mwaka 2014/15 imetengwa
Tsh Bilion 4.

Je, wewe kama kijana halali wa Tanzania,
umewahi kunufaika na fungu hili ambalo
hutengwa kila mwaka?

Binafsi sijawahi, nina mashaka hizi pesa zinatolewa kwa vijana wa UVCCM pekee kwani sijawahi kuona hata kipeperushi chenye utaratibu wa kuzipata hata kwa mkopo.
 
hapa hamna biashara this is politics naandika upya kisiasa zaidi. .usiondoe hio thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…