Pesa kwenye Gesi na Mafuta

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
647
Reaction score
266
Jamani kama mjuavyo hii ni JF Business Club sasa kila kukicha tunaangalia namna ya kuongeza kipato

sasa hebu tuambiane hivi mtu anaweza vipi kuingiza pesa kupitia hii windfall ya uzinduzi wa gesi na mafuta Tanzania?

Procurement tusijidanganye hawa jamaa wanakuja na networks zao za kutisha za kununua vifaa vyao etc

sasa mliopo ndani ya Industry naomba mtupatie mwangaza on how local entrepreneurs can make money

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…